NUHU MZIWANDA APONDWA MTANDAONI BAADA YA KUJICHORA TATOO YENYE JINA LA SHILOLE
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sw_7w2hvuUYEqLcMfYlFf5Oy-g_HGaVJDXC2Cv5z6NqQ_Kx1awFCf7R7IEjxpXZuX9zbPiCID18NG7M4smGm-6yIwpgC8UeVemd0Vsq2rJfykrBMLCjF0PFBkTM4RvXXPkJLMiBsKCFG0NiZivf0nigOCMMskfg4e4gpGdALJc5seWCzKs96C4Dq8W2o6YQejPBCK9fvB3tcCOK50Oicw-raJ1vUZzlA=s0-d)
STAA wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda amepondwa na mashabiki wake mtandaoni baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwenziye Zuwena Mohamed’Shilole’ambapo wamemuhoji kama wakiachana atachoma tattoo hiyo kwa pasi?
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sXjL4EQzVbrwNl0PDshBRXIV6FnT-SiGxEgThXhAWBRTybDpEuq3HepgtgXCgDbKSstVQ1PjGm0gvDvYt5Gl1l3GWSfjM1K20oxxvHDXX7tvfmZwpygOqB8TdoSsGNoSmWhx0oCSopZdVNsodr3lelKqBjXN8GSQMRwkLHkWtyknwnHMcYPlDo5IZuVeC85arJ1yq99GeBxeHsR9bbeBGEQV14osxnGLM=s0-d)
Msanii amepost picha hiyo ya tattoo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika…Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??...
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tZt5mQNS5AdiX1L-8uaTPXHDkXPacSBgz9Bcjx_IWp3r_DH5kea2vbWpevye_rEdnGY0cRwb0JwjocGN1EtcQK44tUfsSQUo4i1DAkrwDsVH9JPqZzpZGjAKiEGz5HqFpJEIWfDa0aKPljR2lzK1JL2OttU-IqVLrPENjzrcQy6ajD5_9DGVnUxuUPSH626Jokn-2uR2HqSEeODqZp7jzZyW_uJH_OIA4=s0-d)
Baadhi ya mashabiki walisema kuwa…. Duuh namuonea huruma sana huyu alojichora jina la mpenzi wakati hawajafikia ata uchumba je ukimuacha ataifuta wapi @shilolekiuno daah kakurupuka aisee ….amaa tu bora uchore jina la mwanao au mama wapenzi au mapenzi hayana guarantee…… ….Wallah huyu mtt atalia na kama kitanzi atajitia kwa kuachwa kama kinda la ndege kwenye kiota namuonea huruma kijana mwenzetuuuuuuuuuuu ….. …..MAPENZ YA WASANII NI KAMA HOMA YA DENGUE…..
0 comments:
Post a Comment