Saint Vincent and the Grenadines, ni nchi ambayo ni kisiwa karibu na Barbados kwa kina Rihanna, kwa sasa kipo pia kwenye muungano wa mataifa ya mashariki mwa Caribbean.
Hii ni kwa mujibu wa CNN ambao wamefanya collection ya sehemu hizi zenye mvuto na historia ya kipekee kwenye dunia tuliyomo lakini utashangaa pia sehemu kama Zanzibar ambayo tunaamini ni kituo kingine kikubwa cha utalii kilichojaa kumbukumbu za kutosha, hakipo kwenye hii list.
Kisiwa cha Crete kipo Ugiriki ambacho ni namba 5 katika list ya visiwa vikubwa vya bahari ya Mediterranean.
Victoria Falls Zimbabwe/Zambia, wanasema September 2015 kuna uwanja wa ndege wa kimataifa utafunguliwa kwenye mpaka wa Zambia na Zimbabwe ili hii sehemu iwe rahisi kufika.
0 comments:
Post a Comment