WANAWAKE 10 MATAJIRI AFRICA

WANAWAKE 10 MATAJIRI AFRICA

Kiafrica imezoeleka kwamba mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani, kujishugulisha na kilimo au ufugaji, lakini hivi sasa dunia imebadilika, wako wanawake wenye nguvu kimadaraka, wahangaikaji hadi kufikia kutambuliwa kama wanawake wenye pesa au matajiri.Hii hapa ni list ya wanawake 10 matajiri Afrika.

10.Mama Ngina Kenyatta.
Huyu ni mjane wa aliyekuwa Raisi wa kwanza wa Kenya, Jommo Kenyata.Ana umri wa miaka 79 ni kati ya kina mama ambao wanaheshimika Kenya.

9. Isabel Dos Santos.
Huyu ni mtoto mkubwa wa Raisi wa Angola, ana umri wa miaka 39, anakadiriwa kuwa na utajiri wenye thamani ya dola 170. 


8.Hajia Bola Shagaya.
Ni mwanamke Tajiri zaidi nchini kwao Nigeria, ameinvest kwenye ishu kibao, kama mafuta na madini.
 
7.Folorunso Alakija.
Naye anatokea Nigeria Ana umri wa miaka 61, yeye anadili na mambo ya mitindo, mafuta na ishu nyingine nyingi. 

6. Wendy Appelbaum.
Ni mtoto wa tajiri mmoja kutoka South Africa.
  
5.Wendy Ackerman.
Naye anatokea South Africa.

4. Bridget Radebe.
Kutoka South Afrika ni mwanamke wa kwanza mweusi kumiliki mgodi wake mwenyewe.

3.Sharon Wapnick
Naye anatokea South Africa.

2.Elisabeth Bradley.
Kutoka South Africa.

1.Elisabeth Bradley.
kutoka South Africa naye. 
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment