BOSS LADY NA MAPOKEZI YA PLATINUMZ

.
.
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ameshawasili 256 Uganda kumpa support  Zari Hassan a.k.a Zari The Bosslady kwenye  event yake ‘All White CIROC Party’ itakayofanyika Des 18 Kampala.
.
Diamond akifanya mahojiano na waandishi wa habari  baada ya kuwasili Uganda .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Diamond Platnumz akiwa na Zari baada ya kumaliza mahojiano na waandishi.
.
.
.
.
.
.
.
Zari na Diamond  wakihojiwa na mwaandishi kutoka NTV.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Hili ndio gari lililombeba Diamond Platnumz kutoka Airport kuelekea Hoteli .
Zari 1
Zari 2

.
.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment