MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) leo umeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari wa Kanda ya Mashariki huko mkoani Morogoro.
Mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza leo yanamalizika kesho na yamefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Usambara mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment