WANAMUZIKI mahiri wa Hip hop nchini, Kala Jeremiah na Roma Mkatoliki leo wametembelea studio za Global TV Online na kutambulisha ngoma yao mpya ya NCHI YA AHADI ambayo inamuelezea mwanasiasa 'mheshimiwa' na mpiga kura.
Enter your email address below to subscribe to our newsletter.
0 comments:
Post a Comment