MWANAMUZIKI MIRROR ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Mwanamuziki Mirror (kulia) akiwa katika pozi na Mtangazaji wa Global TV Online, Mou Alfah.
Mirror, Mou wakiwa kwenye pozi na Mwandishi wa Global Publishers Ltd, Musa Mateja (katikati).
MSANII wa Bongo Fleva anayesimamiwa na staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kupitia Endless Fame, 'Mirror' leo ametembelea studio za Global TV Online na kufanya mahojiano ambayo yataruka hivi karibuni kupitia www.globaltvtz.com
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment